Maxresdefault 5

Mke Wa Rappa Roma Ampelekea Mumewe Mrembo Wa Kumkatikia Jukwaani.

Mke wa Rappa Roma alimpandisha jukwaani mrembo flani ili ayakarte mauno na Mume wake wakati anatoa show. “One of interested story, huwezi amini yule baby aliyepanda kukatika wife ndiye aliyemleta jukwaani, mwanzo nilipanda na binti mmoja ambaye alisema anajua kucheza na anaweza akaperform vizuri ule wimbo, nilivyopanda naye hakuonyesha ushirikiano mzuri, namlazimisha akatike akawa anaona aibu,” Alisema Roma.

Rappa Roma aliongeza kwa kusema kuwa “Sasa wife alikuwa kwenye ile show akamuona demu anakatika vizuri  akamwambia ebu nenda kacheze na shemeji yako, na yule akaja kaweuka kweli, kafanya shughuli mpaka wife akajutia uamuzi wake kwa nini alimtuma aje jukwaani, sema was nice show,”

Leave a Reply