20170926 170709

AJALI: Gari La Abiria Lateketea Kwa Moto.

Gari ya Tashriff iliyokuwa ikitoka Tanga mjini kuelekea Dar es salaam, limeungua moto maeneo ya PONGWE majira ya saa 8: 30 mchana wa leo.

 

 

 

 

 

Picha kwahisani ya Muungwana Blog.

Leave a Reply