Roma 1

Roma Kutojihusisha Na Shughuli Za Muziki Miezi 6

Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amemfungia msanii Roma Mkatoliki kutojihusisha na tasnia ya muziki kwa kipindi cha miezi sita

Leave a Reply