103666179 Gettyimages 1029951850

MENEJA WA MANCHESTER AMEKANUSHA KUTAKA KUMNUNUA MBAPPE

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameka nushataarifa kwamba anataka kumnunua mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 19.

Bodi ya Barcelona imagawanyika kuhusu ikiwa itamwendea kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba, 25 mwezi Januari lakini mabingwa hao wa Uhispania wanaamini wana uwezo wa kifedha wa kutosha kuweza kumsaini Mfaransa huyo mshindi wa Kombe la Dunia.

Leave a Reply