103705251 Gettyimages 1037385924

MSHAMBULIAJI WA MONACO AMEHUSISHWA NA KUHAMA KWENDA KLABU YA DAVID BECKHAM.

Mshambuliaji wa Monaco na Colombia Radamel Falcao, 32, amehusishwa na kuhama kwenda klabu ya David Beckham ya Inter Miami wakati timu hiyo itajiunga na MLS mwaka 2020.

Gareth Southgate atasaini mkataba ndani ya saa 24 zinazokuja kusalia kama meneja wa England hadi mwaka 2022. (Mirror)

Mkataba huo ambao unaripotiwa kuwa wa thamani ya paunia milioni 3 kwa mwaka, utamweka kwenye klabu meneja huyo mwenye miaka 48 hadi baada ya Kombe la Dunia nchini Qatar.

Leave a Reply