106894209 Mediaitem106894208

MAREKANI YAITIA MBARONI MELI YA KOREA KWA KUKIUKA VIKWAZO

Marekani imeikamata meli ya Korea Kaskazini ikiilaumu kwa kukiuka vikwazo vya kimataifa.

Idara ya haki imesema kuwa meli hiyo ilitumika kusafirisha makaa hayo ambayo ndio biashara kubwa ya taifa hilo licha ya kupigwa marufuku na Umoja wa mataifa kuendelea kuyauza nje

Meli hiyo ilikuwa imekamatwa nchini Indonesia mnamo mwezi Aprili 2018.

Ni mara ya kwanza Marekani imeikamata meli ya Korea Kaskazini kwa kukiuka vikwazo na hatua hiyo inajairi wakati ambapo uhusiano buyviagraonlinexxx.net kati ya mataifa hayo mawili umedorora.

Leave a Reply