WCB Wasafi

DIAMOND PLATNUMZ, MBOSSO NA RAYVANNY NGOMA MPYA JIKONI

Wasanii wa muziki Bongo kutoka lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Mbosso na Rayvanny wamekutana kwenye kolabo ya pamoja.

Kupitia Insta Story, Mtayarishaji wa muziki S2Kizzy aligusia uwepo wa watatu hao Studio na kufanyika kwa kolabo https://www.viagrageneriquefr24.com/effets-viagra-jeune-homme/ hiyo.

S2Kizzy anaendelea kushiriki utayarishaji wa muziki na wasanii wengine kutoka lebo ya wasafi kwa mfululizo tangu athibitishe kutayarisha nyimbo kadhaa na Diamond Platnumz.

Leave a Reply