TELEMMGLPICT000152987044 Trans++PuL 8ex6Wxr3HGFUi6PIc45tImKey5x700iKis9lGeo

POMBE YAMPONZA BERAHINO

Mchezaji soka Saido Berahino amepatikana na hatia ya kuendesha gari huku akiwa amekunywa pombe.

Mshambuliaji wa Stoke City alikuwa amezidisha takriban mara tatu ya kiwango cha kileo wakati wakati gari lake aina ya Range Rover liliposimamishwa katika eneo la West End jijini London majira ya saa tisa usiku tarehe 18 Februari.

Mahakama ya Highbury Corner ilisikiliza kesi ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 25-ambaye alikamatwa dakika chache baada ya kuibiwa.

Mahakimu walisema”hakuwa na uoga wa kifo wala wa kujeruhiwa vibaya ” kabla ya kumpiga faini ya £75,000 na kumzuwia kuendesha gari kwa kipindi cha miezi 30

Leave a Reply